Matokeo ya Kidato cha Sita ACSEE 2025

Matokeo ya kidato cha sita 2025 Tanzania: Unaweza kuangalia matokeo ya kidato cha sita 2025 kwa kutembelea tovuti rasmi ya NECTA, Bonyeza linki hapa chini:

https://matokeo.necta.go.tz/

Jinsi ya Kuangalia Matokeo ya Kidato cha Sita kwa Njia ya SMS

  1. Piga *152*00#
  2. Chagua namba 8. ELIMU
  3. Chagua namba 2. NECTA
  4. Chagua aina ya huduma 1. MATOKEO
    Chagua aina ya Mtihani 2. ACSEE
  5. Ingiza Namba ya Mtihani na Mwaka Mfano: S0334-0556-2019
  6. Chagua aina ya Malipo (Gharama kwa SMS ni Tshs 100/=)
  7. Baada ya kukamilisha malipo, utapokea ujumbe mfupi wenye matokeo.

Leave a Comment