Jinsi Ya Kuangalia Deni La Gari (TMS Traffic Check)

Bonyeza Hapa Kujua deni la gari – TMS TRAFFIC CHECK 2024

Jinsi ya kulipa deni la traffic

Zifuatazo ni njia za kulipia deni la traffic:

    •  Kupitia matawi ya benki:
      •  NBC
      •  NMB
      •  CRDB
  •  Kupitia mitandao ya simu Lipa kwa kutumia namba ya kampuni 001001 kisha weka kumbukumbu namba yako iliyopo kwenye TMS au receipt uliyopatiwa

Mawasiliano

TPF ICT
P.o.Box 961
Dodoma, Tanzania
Phone: 0262323585
Email: info.phq@tpf.go.tz

Leave a Comment