CV na Profile ya Moussa Pinpin Camara Golikipa Mpya wa Simba
Moussa Pinpin Camara (24) ni raia wa Guinea, simba imemsajili kutoka klabu ya Horoya AC. Klabu ya Simba imeamua kutafuta golikipa mpya ilikuongeza nguvu, kufatia taarifa za hivi karibuni za golikipa namba moja wa kilabu hiyo, Ayoub Lakred kupata majeraha yatakayomweka nje kwa muda.
Simba SC imekuwa na sintofahamu na aliyekuwa golikipa namba moja kwa muda mrefu Aishi Manula, ambaye yupo nje ya kikosi bila taarifa rasmi.
Taarifa Binafsi
Jina Kamili: Moussa Pinpin Camara
Umri: 24
Nafasi: GK
Urefu: 185 CM
Uzito: 77 KG
Leave a Comment