KIKOSI CHA SIMBA MSIMU WA 2024/2025

Kikosi Cha Simba 2024/2025 – NBC Premier League. Simba SC ndio wawakilishi pekee waliobaki kimataifa kwa msimu wa 2024/2025.

Taifa:  Tanzania

Kuanzishwa: 1936

Uwanja: Benjamen Mkapa Stadium (Lupaso)/KMC

Tovuti: www.simbasc.co.tz/

Jina la Mchezaji Nafasi Asili
Moussa Camara Kipa
Ally Salim Kipa Tanzania
Hussein Abel Beki Tanzania
Ahmed Feruz Beki Tanzania
Mohamed Hussein Beki Tanzania
Shomari Kapombe Beki Tanzania
David Kameta Beki Tanzania
Edwin Balua Beki Tanzania
Che Fondoh Malone Beki Cameroon
Fabrice Ngoma Kiungo DR Congo
Hamisi Abdallah Kiungo Tanzania
Ladack Chasambi Kiungo Tanzania
Mzamiru Yassin Kiungo Tanzania
Willy Esomba Onana Kiungo Cameroon
Freddy Michael Kiungo Tanzania
Lameck Lawi Kiungo Tanzania
Joshua Mutale Kiungo Zambia
Steven Dese Mukwala Mshambuliaji Uganda
Jean Charles Ahoua Mshambuliaji Ivory Coast
Abdulrazack Mohamed Hamza Mshambuliaji Tanzania
Valentino Mashaka Mshambuliaji Tanzania
Augustine Okejepha Mshambuliaji Nigeria
Debora Fernandes Mavambo Mshambuliaji Zimbabwe
Omary Omary Kiungo Tanzania
Karaboue Chamou Kiungo Ivory Coast
Valentin Nouma Mshambuliaji Cameroon
Yusuph Kagoma Kiungo Tanzania
Kelvin Kijili Beki Tanzania
Elie Mpanzu Mshambuliaji DR Congo
Awesu Awesu Mshambuliaji Tanzania

Leave a Comment