CV na Profile ya Steven Dese Mukwala

Rekodi, CV na Profile ya Steven Dese Mukwala Mchezaji Mpya wa Simba SC: Mukwala Steven Dese (25) ni raia wa Uganda.

Huu ni usajili wa tatu kwa Simba SC baada ya Lameck Lawi na Joshua Mutale ambao wanatarajiwa kuongeza nguvu katika kikosi cha Simba kuelekea msimu wa 2024/2025.

Taarifa Binafsi

Jina Kamili: Steven Dese Mukwala

Tarehe ya Kuzaliwa/Umri: Jul 15, 1999 (25)

Sehemu alipozaliwa: Makindye Uganda

Urefu: 1,76 m

Uraia: Uganda

Nafasi: Attack – Centre-Forward

Timu ya sasa: Simba SC

Kujiunga: Jul 1, 2024

Mwisho wa Mkataba: Jun 30, 2027

Leave a Comment