Fahamu CV na Profile ya Jean Charles Ahoua Mcheza wa Simba SC: Simba imefanikiwa kuinasa saini ya kiungo mshambuliaji Ahoua Jean Charles raia wa Ivory Coast kwa mkataba wa miaka miwili.
Ahoua alikuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu nchini Ivory Coast (MVP) katika msimu wa 2023/2024 akifanikiwa kufunga mabao 12 na kutoa ‘assist’ tisa.
Taarifa Binafsi
Tarehe ya Kuzaliwa/Umri: Feb 10, 2002 (22)
Sehemu Alipozaliwa: Zikisso Cote d’Ivoire
Urefu: 1,73 m
Uraia: Cote d’Ivoire
Nafasi: Midfield – Attacking Midfield
Timu yake Kwasasa: Simba SC
Tarehe ya Kujiunga: Jul 3, 2024
Mwisho wa mkataba: Jun 30, 2026
Ahoua anakuwa mchezaji wa nne kusajiliwa baada ya Lameck Lawi, Joshua Mutale na Steven Mukwala. Simba imepania kufanya usajili wa wachezaji wengi wenye ubora ili kuimarisha kikosi chake.
Rekodi za Ahoua Simba SC – Ligi Kuu

Leave a Comment