TANGAZO LA NAFASI(2) ZA KAZI
Mkuu wa shule ya sekondari Bunda kwa niaba ya bodi ya shule ya sekondari Bunda anakaribisha maombi
ya kazi kutoka kwa watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi mbili kama ilivyoainishwa kwenye
tangazo hili.
1. Walimu wa ngazi ya shahada ya unlimu katika masomo ya English Language na Mathematics.
1.1 MAJUKUMU YA KAZI
Kuandaa Azimio la kazi, Maandalio ya somo. Nukuu za masomo na mpango wakati wa majukumu mengine aliyokabidhiwa.
Kutengeneza na kufaraghua zana za kufundishia na kujifunzia. Kufündisha, kufanya tathimini na kutunza kumbukumbu za maendeleo ya wanafunzi
Kusimamia na kufuntilia mahudhurio ya wanafunzī shuleni na darasani, Kusimamia malezi ya mwanafunzi kiakili, kimwili, kiroho na kutoa ushauri nasaha na unasihi
Kazi nyingine atakayopangiwi na mkuu wa shule kulingana no majukumu ya shuļe.
2.1 SIFA ZA MWOMBA.JI
Mwombaji awe na cheti cha shahada ya ualimu katika masomo ya English Languge na Mathematics
Awe Raia wa Tantzania
3.1 MAELEKEZO MEHIMU
Aambatanishe cheti cha kuzaliwa Vycti vya kítaaluma
Wasifu wa mwombaji (CV)
Kitambulisho cha Uraia (NIDA)
4.1 NJIA YA UOMBAJI
Maombi yote yatumwe kwa Anuani ifuatayo ;-
Mkuu wa shule
Shule yn Sekondari Bunda
S.L P 400
Bunda
Mara
5.1 Mwisho wa maombi
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 07/02/2025.
6.1 Maombi yawasilishwe ofisi ya Mkuu wa Shule Bunda Sekondari.

Leave a Comment