TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MKATABA WA MWAKA MMOJA
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo anapenda kuwatangazia Watanzania wote nafasi za kazi za mkataba katika fani ya Uhandisi na Udereva kwa mujibu wa kibali cha ajira ya mkataba chenye Kumb: Na. FA.97/228/02″A”/190 cha tarehe 19 Disemba, 2024 kutoka kwa Katibu Mkuu Utumishi, hivyo kwa wale wenye sifa mnatakiwa kuomba nafasi hizi kama zilivyooanishwa.

Leave a Comment