Jinsi ya Kujiunga Vifurushi Simba Bando Vodacom

Jinsi ya Kujiunga Vifurushi Simba Bando Vodacom

  1. Hakikisha una laini ya Vodacom Tanzania.
  2. Piga *149*01# Menu ya Kujiunga Simba Bando
  3. Chagua namba 7 “Simba & Burudani”
  4. Chagua namba 1 “Simba Bando”
  5. Kisha Chagua kifurushi cha Simba Bando unachotaka.
  6. Thibitisha uchaguzi wako.

Vifurushi vya Simba Bando Kwa Siku:

  • TSH 600: Dakika 30 za kupiga simu, SMS 20 za kutuma ujumbe, pamoja na huduma ya kipekee ya Simba Mastori.
  • TSH 600: MB 246 za intaneti kwa kuperuzi mitandao ya kijamii, kuangalia video, na mengine mengi, pamoja na Simba Mastori.

Vifurushi vya Simba Bando Kwa Wiki:

  • TSH 2900: Dakika 200 za kupiga simu, SMS 50 za kutuma ujumbe, na bila shaka, Simba Mastori.
  • TSH 3400: MB 1434 za intaneti kwa matumizi ya wiki nzima, pamoja na Simba Mastori.

Vifurushi vya Simba Bando Kwa Mwezi:

  • TSH 11000: Dakika 1200 za kupiga simu, SMS 100 za kutuma ujumbe, na huduma ya Simba Mastori.
  • TSH 11000: MB 4096 za intaneti kwa mwezi mzima wa kuperuzi bila wasiwasi, pamoja na Simba Mastori.

Leave a Comment