Jinsi Ya Jinsi Ya Kujiunga Na Vifurushi Vya Startimes 2025/2026

Jinsi ya Kulipia Vifurushi vya StarTimes kwa Tigo Pesa

  1. Ingiza *150*01# kwenye simu yako kisha piga.
  2. Chagua “Lipia Bili.”
  3. Chagua nambari 2 kupata majina ya kampuni.
  4. Chagua namba 5 “King’amuzi.”
  5. Chagua namba 2 “StarTimes.”
  6. Chagua namba 1 “Weka namba ya kumbukumbu.”
  7. Ingiza namba ya kumbukumbu ambayo ni Smartcard namba ya king’amuzi chako.
  8. Ingiza kiasi kamili cha kifurushi unachotumia.
  9. Ingiza namba yako ya siri kuhakiki.
  10. Utapokea ujumbe kuthibitisha muamala wako wa malipo.

Jinsi ya Kulipia Vifurushi vya StarTimes kwa M-Pesa:

  1. Ingia kwenye Menu ya M-PESA kwa kupiga *150*00#.
  2. Chagua namba 4 “Lipia Bili.”
  3. Chagua “StarTimes” kwenye orodha.
  4. Ingiza namba ya kumbukumbu ya malipo (Smartcard namba).
  5. Ingiza kiasi cha pesa unachotaka kulipia.
  6. Ingiza nambari yako ya siri ya M-Pesa ili kuhakiki muamala.

Jinsi ya Kulipia Vifurushi vya StarTimes kwa Airtel Money:

  1. Piga *150*60#
  2. Chagua 5 – Lipia bili
  3. Chagua 6 – King’amuzi
  4. Chagua 2 – StarTimes
  5. Ingiza namba ya smartcard
  6. Weka kiasi
  7. Thibitisha kwa kuingiza PIN yako

Leave a Comment