Jinsi ya Kuangalia Matokeo Ya NECTA kwa SMS

Get results NECTA by SMS

Piga *152*00#

Chagua namba 8. Elimu.

Chagua namba 2.NECTA.

Chagua aina ya huduma 1. MATOKEO.

Chagua Aina ya Uchunguzi, kwa mfano 2. QT.

Andika nambari yako ya mtihani na mwaka wa mtihani (eg. “NECTA 123456 2024”).

Chagua Aina ya Malipo (Gharama kwa SMS ni Tshs 100)

Leave a Comment