Orodha ya Shule Bora za Advanced za Serikali Tanzania

Shule bora za sekondari ya juu (Kidato cha Sita/A-Level) za Serikali nchini Tanzania. Hii hapa ni orodha ya baadhi ya shule hizo ambazo zimejitolea kutoa elimu bora na kusaidia wanafunzi kujiandaa vyema kwa maisha ya baadaye:

  1. Tabora Boys Secondary
  2. Ilboru Secondary
  3. Mzumbe Secondary
  4. Kilakala Secondary
  5. Kibaha Secondary
  6. Tabora Girls Secondary
  7. Kisimiri Secondary
  8. Kibaha Secondary School
  9. Kamagi Secondary School
  10. Nachingwea Secondary School
  11. Dareda Secondary School

Leave a Comment