TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA UALIMU WA MUDA (PART TIME TEACHER)
UONGOZI WA SHULE YA SEKONDARI RUBANA – BUNDA MJI UNATANGAZA NAFASI YA MWALIMU MMOJA (1) WA MUDA WA MASOMO YA PHYSICS NA BASIC MATHEMATICS.
SIFA ZA MWOMBAJI:
Awe na kiwango cha Elimu cha Stashahada au Shahada ya Ualimu.
Awe Mtanzania
Awe mwenye kujituma
Barua ya maombi iambatanishwe na nakala za Vyeti vya Kitaaluma,
Kitambulisho cha NIDA na barua ya Mdhamini iliyopitishwa na Mtendaji wa Kata mwombaji anakoishi.
Maombi yatumwe kwa Mkuu wa shule ya Sekondari Rubana kabla au ifikapo tarehe 03/03/2025.
Kiwango cha Posho ya ufundishaji kwa kila mwezi ni maelewano.
KARIBUNI SANA!

Leave a Comment