Nafasi za Kazi Ualimu Shule ya Sekondari Mariando 2025

SHULE YA SEKONDARI MARIADO ILIYOPO MKOA WA ARUSHA WILAYA YA ARUMERU HALMASHAURI YA MERU USA – RIVER INAWATANGAZIA NAFASI ZA KAZI KWA WAALIMU KAMA IFUATAVYO

Walimu walohitimu Elimu ya Shahada ya Elimu (Ualimu) kutoka kwenye vyuo vyenye hadhi na vinavyotambuliwa na serikali, wenye umahiri, uzoefu na sifa nyinginezo stahiki kwa ajili ya kufundisha kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita kwa masomo yafuatayo :.

1. Physics

2. Advanced Mathematics

3. Economics

4. English Languages

5. Literature in English

6. French

7. Geography

8. Divinity

9. Food Production/Food and Nutrition

10. Book keeping

11. Commerce

KWA MAWASILIANO:

Tuma maombi, vyeti na CV kwa kutumia WhatSAPP 0718-264 942 (HEADMASTER MARIADO SCHOOLS)

 

Leave a Comment