Utabibu wa Kinywa Na Meno (Clinical Dentistry). Hii ni kozi inayoshughurika na matibabu ya kinywa na meno. wataalamu wa kozi hii (Dentist au Daktari wa meno) hufanya uchunguzi wa kinywa, kutoa ushauri kuhusu afya ya kinywa, kufanya upasuaji wa meno, na kutibu magonjwa mbalimbali ya kinywa na meno
Baadhi Ya vyuo Vinavyotoa Kozi ya Utabibu wa Kinywa Na Meno (Clinical Dentistry)
Tanga College of Health and Allied Sciences
2. Primary Health Care Institute
3. Mbeya College of Health and Allied Sciences
4. Kam College of Health Sciences
5. Bulongwa Health Sciences Institute
Sifa Za Kujiunga Na Kozi Ya Utabibu wa Kinywa Na Meno
Mwanafunzi anatakiwa awe na Cheti cha Elimu ya Sekondari (CSEE) na angalau alama nne (4) za kupita katika masomo yasiyo ya kidini ikiwa ni pamoja na Kemia, Baiolojia, na Fizikia/ Sayansi za Uhandisi.
Biology D
Chemistry D
Physics D
English D
Na ufaulu zadi ya huo
Leave a Comment