Benki ya CRDB kupitia kwa wakala mkuu, NAD INSURANCE AGENCY, inatangaza nafasi za kazi 400 kwa ajili ya kuwafungulia akaunti za CRDB, kwa wateja wapya!
VIGEZO
Elimu kuanzia kidato cha nne
Namba ya NIDA au kitambulisho cha mpiga kura
Mwenye simu janja (Smartphone – Android)
Uchapakazi na uhodari kazini
Uaminifu
MALIPO
Kamisheni
Bonus
MAENEO YA KAZI
Mwanza | Simiyu | Kagera | Mara | Shinyanga | Geita | Kilimanjaro | Arusha | Manyara | Tanga
APPLY NOW
+255 741 516 831//+255 766 882 211 // +255 741 561 267 // +255 741 670 590 O hr@nad.co.tz

Leave a Comment