Wachezaji Wanaokosa Mchezo wa Derby Simba vs. Yanga Machi 8, 2025

1. Aziz Ki

“Wachezaji wote wapo fiti kujiandaa na mchezo, mchezaji pekee ambaye nina wasiwasi nae ni Aziz Ki ambaye alipata shida ya mgongo. Siwezi kusema kama atakuwepo au hatakuwepo bado ni 50/50 nafikiri mpaka kesho nitakuwa na majibu sahihi. Miloud Hamdi (Kocha Mkuu wa Yanga).

2. Mousa Camara

Alipata majeraha katika mechi ya Simba SC vs Azam FC.

3. Che Malone

Alipata majeraha katika mechi ya Simba SC vs Azam FC pia.

Taarifa za Mchezo

Mchezo: YOUNG AFRICANS SC vs SIMBA SC

Muda: 08.03.2025 | 7:15PM

Uwanja: BENJAMIN MKAPA

Leave a Comment