Orodha ya Shule za Sekondari za Jeshi Tanzania

JWTZ na JKT zimeanzisha shule kadhaa za sekondari katika mikoa tofauti Tanzania. Hapa chini tumekuletea orodha ya shule hizo pamoja na maeneo ambao shule hizo zipo:

  1. Shule ya Sekondari Makongo – Dar es Salaam
  2. Shule ya Sekondari Air Wing – Dar es Salaam
  3. Shule ya Sekondari Navy – Dar es Salaam
  4. Shule ya Sekondari Kizuka – Morogoro
  5. Shule ya Sekondari Luhuwiko – Ruvuma
  6. Shule ya Sekondari Nyuki – Zanzibar
  7. Shule ya Sekondari Unyanyembe – Tabora
  8. Shule ya Sekondari Jitegemee – Dar es Salaam
  9. Shule ya Sekondari Kawawa – Iringa

Leave a Comment