Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 19-03-2025 hadi 05-04-2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.
DOWNLOAD PDF HAPA CHINI
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MAJINA YA NYONGEZA 17-03-2025
Leave a Comment