Nafasi 51 za Kazi MDAs na LGAs, March 2025

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara, Idara zinazojitegemea na Wakala wa Serikali pamoja na Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka ya Serikali za Mitaa (MDA’s & LGA’s) anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 51 kama ilivyoainishwa katika tangazo hili.

PAKUA PDF HAPA CHINI

Leave a Comment