Notice: Function _load_textdomain_just_in_time was called incorrectly. Translation loading for the post-views-counter domain was triggered too early. This is usually an indicator for some code in the plugin or theme running too early. Translations should be loaded at the init action or later. Please see Debugging in WordPress for more information. (This message was added in version 6.7.0.) in /www/wwwroot/net.wazaelimu.com/wp-includes/functions.php on line 6131
Majina Walioitwa Kwenye Usaili Jeshi la Zimamoto na Uokoaji 2025

Majina Walioitwa Kwenye Usaili Jeshi la Zimamoto na Uokoaji 2025

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji anayo furaha kukujulisha kuwa majibu ya majina ya walioteuliwa (SHORTLISTED) yametoka na usaili utafanyika katika Ofisi za Kanda za Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ulizochagua wakati wa maombi tarehe 5 Aprili, 2025 kwa waombaji wa ngazi ya Kidato cha Nne, na katika Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Dodoma, kuanzia tarehe 14 Aprili, 2025 kwa waombaji wa Taaluma Maalum (Professional Cadres).

Unatakiwa kuja na nyaraka halisi ulizotumia wakati wa kutuma maombi ya kazi, kama ifuatavyo:

  • Vyeti vya kitaaluma
  • Vyeti vya taaluma
  • Cheti cha kuzaliwa
  • Kitambulisho cha Taifa (NIDA) au Namba ya NIDA (NIN)
  • Barua ya utambulisho
  • Barua ya maombi ya kazi iliyoandikwa kwa mkono

Tafadhali kumbuka:

  • Unakumbushwa kuvaa mavazi ambayo hayatazuia kukimbia.
  • Tembelea kurasa zetu za mitandao ya kijamii kwa taarifa zaidi kuhusu mchakato wa ajira na tarehe yako ya usaili (kwa waombaji wa Taaluma Maalum pekee).

Majina ya Usaili Zimamoto tayari yametoka tembelea account yako kuona kama umeitwa.

PAKUA PDF HAPA CHINI

Leave a Comment