Kikosi cha Leo Simba SC vs Al Masry 2.4.2025

Kikosi Cha Simba vs Al Masry 02 April 2025. Simba inatarajia kuwavaa Al Masry leo katika mchezo wa wa kwanza hatua ya robo fainali Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025 #TotalEnergiesCAFCC.

Taarifa za Mchezo

Muda: 2 APRIL, 2025 | 19:00 HRS (EAT) – 16;00 (GMT)

Uwanja: SUEZ STADIUM

Mashindano: CAFCC

Kikosi cha Simba SC kinachotarajiwa kuanza vs. Al Masry

Leave a Comment