Mchezo wa Yanga vs. Tabora United Saa Ngapi? 02 April 2025

Mechi ya Yanga SC dhidi ya Tabora United Leo Saa Ngapi?, Mechi ya Yanga na Tabora United itaanza saa ngapi?. mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Yanga SC wanatarajia kuwavaaa Tabora leo uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora.

Yanga wanaenda katika mchezo huu, wakiwa na kumbukumbu ya kupoteza mchezo wa mzungo wa kwanza kwa magoli matatu (3). Mchezo huo utaanza saa 10:15 jioni.

Taarifa za Mechi

Muda10:15 jioni

Uwanja: Ali Hassan Mwinyi

Mashindano: Ligi kuu 2024/25

Leave a Comment