NACTVET CAS Selection 2025/2026: Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga na Vyuo Ngazi ya Cheti na Diploma 2025/2026.
Tembelea tovuti rasmi ya NACTVET. Fungua kivinjari chako na uandike URL: https://www.nactvet.go.tz/.
Hii itakupeleka kwenye ukurasa wa NACTVET, ambapo unaweza kupata taarifa mbalimbali zinazohusiana na elimu ya ufundi nchini Tanzania. Utaona Tangazo kama hili: “MAJINA YA WANACHUO WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO VYA UALIMU NGAZI YA STASHAHADA KWA MWAKA WA MASOMO 2025 /2026″.
Leave a Comment