Account Opening (Freelancers) – Nafasi 200
Kampuni ya Agents Support imetangaza nafasi za Ajira kwa Vijana wenye nia, ari na sifa stahiki kuomba nafasi 200 za Account Opening (Kufungua Accounts za Azania Bank.)
SIFA NA VIGEZO VYA WAOMBAJI
- Awe na Elimu kuanzia kidato cha nne hadi chuo
- Awe na namba ya NIDA au Kitambulisho cha Mpiga Kura.
- Awe na simu janja (smartphone)
- Awe mchapakazi na hodari
NB: Malipo yanafanyika kwa Kamisheni.
MAHALI: Mwanza, Simiyu, Kagera, Mara na na Shinyanga.
MAWASILIANO: 255712908020/ 255758852706/ 255763939924.
Leave a Comment