Majina Walioitwa Kwenye Usaili Ajira za Mkataba Halmashauri ya Jiji la Mbeya 2025

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KWA AJIRA YA MKATABA WA KUDUMU KWA NAFASI YA MWALIMU DARAJA III A, MWALIMU DARAJA IIIB, MWALIMU DARAJA IIIC , MWANDISHI MWENDESHA OFISI II, MLEZI WA WATOTO NA MHUDUMU WA USAFI KWA AJILI YA SHULE ZA ENGLISH MEDIUM.

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya anapenda kuwataarifu waombaji wote walioomba nafasi ya kazi ya Mwalimu Daraja la III A, Mwalimu Daraja la III B, Mwalimu Daraja IIIC, Mwandishi Mwendesha Ofisi, Mlezi wa watoto, na Mhudumu wa Usafi iliyotangazwa kupitia tangazo la tarehe 01/08/2024 lenye kumbukumbu namba Na. HB.88/145/08 kwamba usaili wa kuandika (Written interview), vitendo (Practical) na usaili wa ana kwa ana (Oral Interview) unatarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 22- 26/04/2025 kama ifuatavyo :-

DOWNLOAD PDF HAPA

Leave a Comment