Ni muhimu kuelewa aina mbalimbali za mafao yanayotolewa na NSSF. Mfuko la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) una aina kuu 5 za mafao amabayo wanachama wake hunufaika kulingana na vigezo na masharti ya Mfuko.
- Mafao ya Kustaafu
- Mafao ya Ulemavu
- Mafao ya Uzazi
- Mafao ya Msiba
- Mafao ya Kuachishwa Kazi
Leave a Comment