SHULE YA MSINGI S.L.P …..,
……………………
TAREHE …………………..
MWL ……………………………………………
SHULE YA MSINGI
YAH:- KUTEULIWA KUWA MWALIMU WA MAKTABA WA SHULE
Husika na kichwa cha habari hapo juu, kufuatia taratibu na kanuni za kazi katika utumishi wa Umma zinavyoelekeza. Kwa mamlaka niliyonayo kama Mwalimu mkuu Napenda kukutaarifu kuwa nimekuteuwa kushika nafasi tajwa hapo juu hadi hapo nitakapoamua kukubadilisha katika nafasi hiyo. Kama mwalimu wa maktaba unapaswa kutekeleza majukumu yafuatayo:
i.kuhakikisha uwepo wa matini na rejea mbalimbali za masomo.
ii.kuthibiti upotevu wa vitabu na matini mbalimbali kwa ajili ya usomaji.
iii.kuandaa ratiba ya usomaji ambayo haiathiri ratiba kuu ya masomo.
iv.kuhamasisha wanafunzi usomaji wa rejea mbalimbali.
v.kufanya kazi zingine zote utakazopangiwa na mwalimu mkuu.
Ikitokea changamoto yeyote katika kutekeleza majukumu hayo tafadhali shirikisha Uongozi wa shule pale inapobidi kufanya hivyo.
Nakutakia utekelezaji mwema na wenye mafanikio.
Wako katika utumishi.
………………………………
Leave a Comment