Huduma ya maji ilianza kutolewa tangu enzi za ukoloni katika miaka ya 1930. Ujenzi wa miradi ya maji kwenye vijiji ulianza mwishoni mwa miaka ya 1950 na ilitolewa katika majimbo yote tisa ya wakati huo. Mipango ya utoaji wa huduma ya maji iliandaliwa kukidhi mahitaji ya Serikali ya Mkoloni na huduma hiyo haikutolewa kwa maelekezo ya kisera.
Fahamu Bei ya Maji
Bei ya Maji ni Tsh 1663/= kwa unit moja.
Unit moja ya maji ni sawa na Lita 1000.
Leave a Comment