Debora Fernandes Mavambo (24) ana uraia pacha wa Congo Brazaville lakini anaechezea timu ya taifa ya Gabon amejiunga na Simba SC kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea Mutondo Stars ya Zambia.
Debora anauwezo wa kucheza kama kiungo mkabaji namba sita ingawa anafurahi zaidi kucheza juu kidogo yaani namba nane.
Debora ni mchezaji wa pili kusajiliwa katika idara ya kiungo wa kati baada baada usajili Augustine Okajepha.
Taarifa Binafsi za Mchezaji
Jina Kamili: Débora Fernandes Mavambo
Tarehe ya Kuzaliwa: Februari 17, 2000 (Umri: Miaka 24)
Nchi ya Kuzaliwa: Angola
Uraia: Congo
Uraia wa Pili: Angola
Klabu ya Sasa: Mutondo Stars (Zambia)
Nafasi: Kiungo wa Kati
Mguu Anaotumia: Kulia
Urefu: 177 cm
Uzito: 0 kg
Hali: Anaendelea kucheza
Leave a Comment