Notice: Function _load_textdomain_just_in_time was called incorrectly. Translation loading for the post-views-counter domain was triggered too early. This is usually an indicator for some code in the plugin or theme running too early. Translations should be loaded at the init action or later. Please see Debugging in WordPress for more information. (This message was added in version 6.7.0.) in /www/wwwroot/net.wazaelimu.com/wp-includes/functions.php on line 6131
CV na Profile ya Miloud Hamdi Kocha Mpya wa Yanga

CV na Profile ya Miloud Hamdi Kocha Mpya wa Yanga

Taarifa rasmi kutoka Yanga SC

“Uongozi wa Klabu ya Young Africans SC umefikia makubaliano ya pande mbili kuvunja mkataba na Kocha Sead Ramovic na msaidizi wake Mustafa Kodro.

Katika hatua nyingine, Klabu ya Young Africans SC inamtangaza Kocha wake mpya, Miloud Hamdi mwenye uraia wa Algeria na Ufaransa.

Kocha Hamdi mwenye uzoefu mkubwa wa kufundisha soka akiwa amefanya kazi barani Ulaya, Asia na Afrika, anaungana na timu mara moja kuanza majukumu yake mapya.

Kocha huyo mbali na uzoefu alionao, pia ana mafanikio makubwa katika soka la Afrika akishinda taji la Ligi Kuu ya Algeria na kucheza Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu wa 2015-2016 akiwa na USM Alger.

Taarifa Binafsi

Jina Kamili:

Tarehe ya kuzaliwa/Umri: Juni 1, 1971 (53)

Uraia: Algeria na Ufaransa

Wastani wa muda kama kocha: Miaka 0.91

Leseni ya Kufundisha: Leseni ya UEFA

Muundo unaopendekezwa: 4-2-3-1

Leseni ya Kufundisha: Leseni ya UEFA A

Leave a Comment