Kwa wale wanaotaka kujiunga na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, tafadhali pakua fomu ya uchunguzi wa afya (medical examination form) hapa chini. Fomu hii lazima ijazwe na afisa wa afya aliyeidhinishwa ili kuthibitisha utimamu wa kiafya wa mwombaji wa kujiunga na Jeshi la Zimamoto katika ajira mpya zilizotangazwa february 2025.
PAKUAA HAPA CHINI
Leave a Comment