HGE – History, Geograph & Economics . ECA – Economic, Commerce & Accountancy. Je umesoma combination za biashara kama HGE na ECA? hizi hapa ni koi nzuri ambazo unaweza kusoma na kufurahia matunda yake huko mbele. Kumbuka ni mhimu kusoma mwongozo (Guide book) kutoka TCU ambao hutolewa kila mwaka wa masomo.
Kozi Bora za Biashara
1. Bachelor of Science in Economics and Finance
2. Bachelor of Accounting
3. Bachelor of Banking and Finance
4. Bachelor of Science in Insurance and Risk Management
5. Bachelor of Science in Economics and Finance
6. Bachelor Degree in Information Technology
7. Bachelor Degree in Business Studies with Education
8. Bachelor Degree of Business Administration in Human Resources Management
9. Bachelor Degree in Accountancy and Taxation
10. Bachelor Degree in Logistics and Transport
11. Bachelor Degree in Marketing
12. Bachelor Degree in Procurement and Supplies Management
Leave a Comment