Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imetoa utaratibu mpya wa kuwatumia ndugu na jamaa kuwachukulia vitambulisho vyao vya NIDA kwenye ofisi za serikali za mitaa.
NIDA imetoa kauli hiyo baada ya kuwapo malalamiko ya watu kuhusu vitambulisho kupelekwa sehemu ambazo hawapo kwa sasa, wengine wakieleza jambo hilo linaweza kuwafanya kutumia fedha nyingi.

Leave a Comment