Jinsi ya kuangalia deni la parking

“Utapokea ujumbe mfupi wenye Deni pamoja na kumb Na. ya malipo kwa ajili ya kufanya malipo ya Ushuru wa Maegesho kwa kutumia mtandao wowote wa Simu ya mkononi au Tawi la Benki ya NMB na CRDB au kupitia kwa Mawakala.”
“Pia unaweza kuangalia Deni la Maegesho kupitia Application iitwayo TeRMIS APP na Application ya GePG zinazopatikana PlayStore.”
TARURA ni nini?
TARURA ni Taasisi ya serikali ambayo inahusika na ukusanyaji wa hizi fedha za parking barabarani.
Nakala hii itakuelekeza jinsi ya kuangalia chombo chako cha usafiri kinadaiwa bei gani na namna ya kulipa deni hili ili kuepukana na faini.
Leave a Comment