Fahamu kuhusu wanafunzi ambao wameomba mkopo wa elimu ya juu kupitia HESLB wanaweza kufuatilia matokeo ya maombi yao kwa njia mbili kuu. Njia hizi ni rahisi na zinatoa taarifa sahihi kuhusu kama mwanafunzi amepata mkopo au la.
Kuangalia Kupitia Akaunti ya SIPA (Student’s Individual Permanent Account)
HESLB inatumia mfumo wa SIPA kwa ajili ya wanafunzi wote waliotuma maombi ya mkopo. Akaunti ya SIPA ni akaunti binafsi ambayo kila mwanafunzi hujipatia wakati wa kuomba mkopo. Ili kuangalia kama umepata mkopo, fuata hatua hizi:
Fungua Tovuti ya HESLB: Tembelea tovuti rasmi ya HESLB au bonyeza moja kwa moja kwenye kiungo hiki https://olas.heslb.go.tz/olams/account/login.
Ingia kwenye Akaunti yako: Tumia jina la mtumiaji na nenosiri ulilojisajili nalo wakati wa kuomba mkopo.

Chagua mwaka wa masomo. Baada ya kubofya “Allocation” Utapelekwa kwenye ukurasa mwengine ambapo unatakiwa kuchagua mwaka wa masomo (2025/2026) ili kuweza kuona kiasi cha mkopo ulicho pata.
Leave a Comment