Je umejiandikisha kupata namba ya NIDA ila mpaka sasa hauijui namba yako ya NIDA? Sasa unaweza kuangalia namba yako ya NIDA mtandaoni kwa urahisi na haraka kupitia tovuti rasmi ya NIDA.
Haikikisha unataarifa hizi ili kufahamu namba yako ya Utambulisho (Namba ya NIDA)
1. Jina la Kwanza (Firstname)
2. Jina la Mwisho (Surname)
3. Tarehe ya Kuzaliwa
4. Jina la kwanza la Mama
5. Jina la Mwisho la Mama
2. Jina la Mwisho (Surname)
3. Tarehe ya Kuzaliwa
4. Jina la kwanza la Mama
5. Jina la Mwisho la Mama
Leave a Comment