Fahamu Jinsi ya Kujibu Swali la “Why Should We Hire You?” katika usaili unapoomba kazi.
Maana yake: “Una kitu gani cha utofauti ambacho wengine hawana?”
Hili swali hili hutoka kwa mwajiri kwenda kwa msailiwa, ili kufahamu utofauti au faida ya zaida inayoweza kumpa kipaumbele msailiwa husika ukilinganisha na watu wengine.
Tips Mhimu:
1. Elewa maelezo ya kazi (Job Description)
3. Jifu kwa kifupi
4. Eleza uzoefu wako
5. Onyesha faida zako
6. Onyesha unyenyekevu (Humble)
Jibu Kwa Kuunganisha Point Izi:
1. Your Knowledge
2. Work experience
3. How are you going to solve their problems
Sample ya Jibu
Makosa ya Kuepuka Unapojibu Swali Hili “Why Should We Hire You?”
1. Epuka kuzungumza kwa muda mrefu sana au jibu refu.
2. Epuka matumizi ya “I DON’T KNOW, MAYBE , AM NOT SURE.
3. Epuka kujibu kwa kiburi au kujiamini kupita kiasi.
4. Epuka kutoa majibu yanayoegemea katika sababu zako binafsi.
Mfano “Mmmh because am unemployed right now, and am very desperate Bla bla bla. I need money to support my Family (Unaanza kulilia shida apo weeee), au “I swear am a hard worker than others, sitawaangusha, nipeni nafasi nitawaonesha.”
Leave a Comment