“Tell Us About Yourself” linaweza kuwa ni moja kati ya maswali magumu zaidi katika interviw (Usaili). Ukwe ni kwamba hakuna jibu moja bora zaidi la kujibu hili swali. Jibu sahihi litatofautiana kulingana na historia yako, jukumu, na kampuni au taasisi inayokufanyia usaili.
Unaweza kujiandaa kujibu swali hili kwa kuzingatia majukumu ya kazi unayoomba na kuandaa majibu yako mapema, unaweza kutengeneza jibu la “Tell Us About Yourself” ambalo ni la uhakika na la kipekee.
Kwa nini Waajiri huuliza hili swali?
Waajiri huuliza swali hili ili kupima jinsi uzoefu wako, ujuzi, na malengo ya kazi yako yanalingana na jukumu na mahitaji ya kampuni au taasisi unayoomba kazi. Waajiri hutafuta sana kuona jinsi unavyoweza kuendana na jukumu maalum katika kampuni au taasisi.
Mfano
Interviewer …
Tell us a little bit about yourself.
Candidate …
Hello and thank you for meeting with me today. My name is Sherla Blakely and I live in upstate Maine on a quaint piece of property that’s been in my family for decades. I’m involved in the local theater group in my community and enjoy supporting local arts organizations, especially ones that offer art-therapy applications.

Leave a Comment