JINSI YA KUFAHAMU IWAPO NAMBA YA UTAMBULISHO WA TAIFA (NIN) IMESHATOKA
1. Tafadhali piga simu kwenye Kituo cha Huduma kwa Mteja Na: 0752 000 058, 0687 088 888, 0777 740 006 au 0677 146 666.
2. Ingia kwenye tovuti ya NIDA (www.nida.go.tz), bofya neno Kitambulisho cha Taifa ikifuatiwa na neno Fahamu NIN kisha fuata maelekezo au fungua link – https://services.nida.go.tz/nidportal/get nin.aspx
3. Unaweza kutuma ombi lako https://demo.emalalamiko.egatest.go.tz/complaint ili kuangaliziwa moja kwa moja kwenye mfumo wa Usajili na Utambuzi wa Watu,
4. Fika kwenye Ofisi ya Usajili ya NIDA katika Wilaya iliyo karibu nawe.

Leave a Comment