Jinsi Ya Kujua Mmiliki Wa Gari Kupitia Plate Number
Hii ni njia nzuri ya kujua mmiliki wa gari au pikipiki kupitia plate number kwa kutumia menyu ya simu ya mkonononi. Hii inasaidia kupunguza usumbufu kwa madereva na watumiaji wengine wa vyombo ya moto pale inapotokea changamoto mbalimbali za hivi vyombo vya moto mfano Ajari
1: Kama ni mtumiaji wa laini ya TIGO/YAS nenda kwenye menyu yako *150*01
2: Kisha nenda namba 7 huduma za kifedha
3: kisha nenda namba 3 BIMA
4: Kisha nenda namba 2 Bima za chombo cha usafiri
Itakuja hio milembe insurance kisha weka plate namba ya hio gari mfano T123ABC
Litakuja jina halali la mmiliki wa hio gari.
Leave a Comment