Je, huna salio la kutosha?
Tigo tuna huduma za kukusaidia pindi unahitaji salio, dakika, MB au sms za kumalizia mazungumzo yako.
Niwezeshe Salio: *149*05#
Hii inakupa salio utakalo tumia kupiga simu, kutuma SMS na kuperuzi internet. Na kiwango utakachopokea kitategemea na matumizi yako ya mwezi. Utalipa utakapo ongeza salio
Niwezeshe Dakika: *149*49#
Inakupa Dakika 4 (sekunde 240) utakazotumia kupiga simu mitandao yote. Utarejesha Sh 350 utakapo ongeza salio.
Niwezeshe Megaboksi: *149*55#
Hii inakupa MB 50 za kuperuzi internet, na utalipia Sh 300 utakapo ongeza salio.
Kuhamisha Salio: *101*Namba ya unayemwamishia salio*Kiasi cha salio#
Hii inakuwezesha kumwamishia salio rafiki, kiwango cha chini cha kuhamisha ni
Sh 250, hakikisha simu yako inabaki na salio la Sh 250.
Leave a Comment