INARUHUSIWA KUMCHUKULIA MTU KITAMBULISHO
MAMLAKA ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imeruhusu kuchukuliana kitambulisho cha Taifa na mtu mwingine ambaye mhusika atamwomba amchukulie.
Mwombaji yeyote aliyepata sms ya kuchukua Kitambulisho chake na angependa kuchukuliwa Kitambulisho chake na mtu mwingine inaruhusiwa. Afike katika ofisi ya NIDA ya Wilaya husika akiwa na sms iliyotumwa kwa mwenye Kitambulisho kwa ajili ya uthibitisho kuchukua
kitambulisho chake ili kucpuka kusitishwa kwa matumizi yake.

Leave a Comment