Jinsi Ya Kupata Leseni Ya Udereva
Leseni ni hati maalumu anayopatiwa dereva aliyefuzu mafunzo maalumu ya udereva na TRA kutoka katika chuo kilicho sajiliwa na kutambulika na TRA
Kuwa na leseni ya udereva kwa dereva anayetaka kuendesha gari nchini Tanzania ni miongoni mwa hatua muhimu sana katika safari ya kua dereva huru na bora. Kwa kuzingatia umuhimu wa kua na leseni ya udereva kwa madereva Tanzania tumeamua kukuletea mwongozo utakaokuonyesha jinsi ya kuweza kupata leseni ya udereva nchini Tanzania.
Kujiunga na Shule ya Udereva
Omba Leseni ya Kujifunza
Fanya Mtihani wa Udereva
Fanya Mtihihani wa Nadharia
Mtihani wa Vitendo
- Pata Cheti cha Afya: Fanya uchunguzi wa afya na upate cheti kutoka kwa daktari.
- Lipa Ada: Lipa ada zote zinazohitajika kwa TRA.
Pata Leseni yako
Baada ya kukamilisha hatua zote hapo juu utasubili muda kidogo na TRA itashugulikia ombi la leseni yako na pindi leseni yako itakapokua tayari utatumiwa na TRA kupitia sanduku la posta uliloliweka kwenye formu ya maombi ya leseni au unaweza kuifuata mwenyewe kwenye ofisi za TRA.
Leave a Comment