Jinsi ya Kutuma Maombi Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) 2025.
Utaratibu wa Kutuma Maombi
Utaratibu wa kutuma maombi kwa makundi yote mawili ni maombi yote yaandikwe Kwa mkono na yawasilishwe Makao Makuu ya Jeshi Dodoma kuanzia Mei 1 2025 hadi tarehe 14 Mei,2025 yakiwa na Nakala ya kitambulisho cha Taifa au nambari ya NIDA, Nakala ya Cheti Cha kuzaliwa,vyeti vya Shule na chuo, Nakala ya Cheti Cha JKT kwa waombaji waliomaliza mkataba wa kujitolea pamoja na nambari ya simu ya mkononi ya Mwombaji.
Hakuna nafasi ya kujiunga Jeshini kwa kutoa fedha atakae toa na kupokea Sheria ipo pale pale hatua Kali kwao zitachukuliwa.
Leave a Comment