Jinsi ya Kutuma Maombi ya Ajira za Walimu Kujitolea – Tamisemi

Kuingia Ndani ya Mfumo – Tumia namba ya NIDA au barua pepe uliyotumia kujisajili kama jina la mtumiaji (username) .
Maelekezo.
  • Tafadhali chagua aina ya maombi ya ajira kama ni AFYA au ELIMU
  • Kama ni muombaji mpya bofya kiunganishi cha juu kulia “Jisajili” kuanza kuomba
  • Ingiza namba ya NIDA au barua pepe kama jina la mtumiaji na uingize nywila yako kuingia ndani ya mfumo.
  • Baada ya kufanikiwa kuingia ndani, tafadhali kamilisha maombi yako kabla ya tarehe ya mwisho
  • Maombi yasiyokamilika hayatafanyiwa kazi
  • Hakikisha kabla ya kutuma maombi umesoma na kuelewa vizuri tangazo lilotolewa
  • Hakikisha vyeti ulivyo ambatanisha vinasomeka vizuri
  • Kuwasilisha taarifa za kughushi zitapelekea kuchukuliwa hatua za kisheria dhidi yako
  • Bofya hapa ili ujisajili kwa ajili ya kutuma maombi

Kwa Msaada
Tafadhali piga simu huduma kwa mteja : 026-2160210 au 0735-160210

Tuma Maombi Hapa: https://ajira.tamisemi.go.tz/

Leave a Comment