Kikosi Cha Simba vs Al Masry 02 April 2025. Simba inatarajia kuwavaa Al Masry leo katika mchezo wa wa kwanza hatua ya robo fainali Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025 #TotalEnergiesCAFCC.
Taarifa za Mchezo
Muda: 2 APRIL, 2025 | 19:00 HRS (EAT) – 16;00 (GMT)
Uwanja: SUEZ STADIUM
Mashindano: CAFCC
Kikosi cha Simba SC kinachotarajiwa kuanza vs. Al Masry

Leave a Comment