Wawakilishi wa Ligi Kuu Tanzania Bara kimataifa Simba SC, wanatarajia kuwavaa Azam FC leo uwanja wa Benjamen Mkapa. Mechi hii itapigwa kuanzia saa 1:00 usiku na kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD.
Kikosi Cha Simba SC kinachotarajiwa kucheza leo vs Azam FC

Leave a Comment