Wawakilishi wa Ligi Kuu Tanzania Bara kimataifa Simba SC, wanatarajia kuwavaa Coastal Union leo uwanja wa Sheikh Amri Abeid Stadium. Mechi hii itapigwa kuanzia saa 1:00 usiku na kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD.
Kikosi Cha Simba SC kinachotarajiwa kucheza leo vs Coastal Union

Leave a Comment