Fahamu Kozi Nzuri za kusoma Chuo Kikuu Tanzania ngazi ya Degree 2025/2026: Hizi ni baadhi ya kozi ambazo ukisoma, unakuwa na nafasi kubwa katika soko la ajira la sasa. Unaweza kuziita “Kozi zenye ajia kwa sasa”.
Mwongozo huu unaweza kumsaidia mwanafunzi kufahamu na uchagua kozi ya kuisome katika ngazi ya Chuo Kikuu.
Kozi hizo ni:
- Information Systems and Technology
- Bachelor of Commerce
- Bachelor of Architecture (B. Arch)
- Bachelor of Science in Environmental Science and Management
- Bachelor of Economics
- Bachelor of Arts in Education
- Civil Engineering
- Bachelor of Laws
- Computer Science
- Journalism and Mass Communication
- Business Administration
- Health Related courses like nursing, MD, Veterinary Medicine etc.
Leave a Comment